Kitabu hiki cha Kiswahili Mazoezi ya Lugha cha Gredi ya 1 kinatumia mbinu za ujifunzaji ambazo zimefanyiwa utafiti. Mbinu hizi zitamsaidia mwanafunzi kukuza stadi za lugha ambazo hatimaye husaidia ukuzaji wa umilisi wa kimsingi, ukuzaji wa maadili na utekelezaji wa shughuli za kijamii pamoja na kuzingatia masuala mtambuko. Masuala makuu yaliyo katika kitabu hiki yametumiwa kama chombo cha kukuza stadi nne za lugha: Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika.
KLB Early Grade Kiswahili Mazoezi ya Lugha Gredi 1
KSh406
Description
Reviews (0)
Be the first to review “KLB Early Grade Kiswahili Mazoezi ya Lugha Gredi 1” Cancel reply
Shipping & Delivery
Reviews
There are no reviews yet.