KIELEKEZI cha Kiswahili Gredi ya 4 kimewasilisha kikamilifu mahitaji ya mtaala mpya unaozingatia umilisi.
Kitabu hiki kimetumia mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi.
Kimetumia lugha nyepesi iliyokomaa na inayoweza kueleweka na mwanafunzi kwa urahisi.
Kimeangazia stadi zote za kujifunza lugha:
(i) Kusikiliza na Kuzungumza
(ii) Kusoma
(iii) Kuandika
(iv) Sarufi
Reviews
There are no reviews yet.